2 Samuel 20:1

Sheba Aasi Dhidi Ya Daudi

1 aBasi, kulikuwa na mtu mbaya sana aliyeitwa Sheba mwana wa Bikri, Mbenyamini, aliyekuwako huko. Akapiga tarumbeta na kupaza sauti, “Hatuna fungu katika Daudi,
wala hatuna sehemu
katika mwana wa Yese!
Kila mtu aende hemani mwake,
enyi Israeli!”

Copyright information for SwhKC